Dhumuni la blog hii ni Kudumisha umoja na Kufikisha Taarifa muhimu pamoja na habari mpya kwa wanachama wote wa luwarane popote mlipo.

Search This Blog

Vizazi Ukoo wa Temu



UTANGULIZI:-

Ukoo wa Temu ni miongoni mwa koo za asili ambazo kihistoria zipo ukanda wa kaskazini mwa Tanzania, kipindi cha karne ya tatu wakati wa vita ndogo ndogo za kijadi za makabila na makabila kulikuwa na misafara mbalimbali ya kutafuta maisha hivyo jamii ya wakati ule ilisafiri kutafuta maisha na miongoni mwao ni Babu wa mababuu  yaani MASAJU ambaye ndio chimbuko la ukoo wa Temu. Asilia ya ukoo wa akina Temu ukichambua kwa undani utakuta kuna vinasaba na wakahe ambao baadhi yao walibakia nchini kenya rejea historia ya wachagga.

Ukoo wa akina Temu ni miongoni mwa ukoo wenye vipaji vya kutafuata mali , ni viongozi tokea zamani, ni wasomi, ni majemedari wa vita, ni wafugaji pia walikuwa na viwanda vya jadi vya kufua vyuma yaani wahunzi hivyo unaweza kuona kuwa mababu zetu walikuwa wajasiriamali wa kujitegeme. Kipindi hicho ndugu walikaa eneo moja ili kusaidiana mf. Ukiona ukoo mkubwa wa Temu upo sembeti ni eneo waliloona wakikaa pamoja na kupanga mambo yao na mila zao za ndani hapakuwa na historia ya kuwa na wagangaa wa kienyeji  ila walikuwa watundu katika  mazingara. Hivyo ukiangalia kwa makini ukoo wa Temu ni dola tosha ya kujitegemea waliweza kushika mashamba maeneo ya Mbali na sembeti mf. Konyiko, kotenu,kofido,himo,mrokora,holili,kahe na kilema pofo maeneo hayo walipewa na Mangi wa wakati huo kwani tulikuwa na Mchili Noe Lesiriamu alipeleka mbuzi  na pombe (enzi za utawala huu ulikuwa ukihitaji jambo kwa Mangi ulikuwa unatoa mbuziau ngombe na pombe ilikuwa ndio heshima ya mwisho kwa mkuu hivyo aliamuru utekelezaji) akaamuru akakate maeneo anayopenda kwa ajili kilimo na hazina ya watoto ambao kwa sasa ndiko tunakoishi. Katika taratibu za maisha waliweza kuisha pamoja na kujenga undugu wa karibu hasa kule kuchinja kwa pamoja na kutengeneza pombe ya kienyeji(mbege) kwenye matukio ya kuozesha mtoto au kuoa na kufikiria kuanza umoja wa ukoo.


NB: kuna ukoo wa Temu huko Kilema juu ,Mwika inasadikika  ni miongoni mwa ndugu waliotengana katika harakati za kutafuta maisha lakini bado kupata uhakika Zaidi lakini mtiririko wa historia inaonyesha hivyo kwani watu walihama kwenda sehemu na kuoa wake wengi ili kukuza ukoo kwa kuzaa watoto wengi hivyo ndivyo ilivyokuwa. Kuna ukoo wa Temu ambao pia uko katika Kijiji cha Sembeti nao wanaitwa Temu chimbuko lao ni baadhi ya Babu zetu walikuwa watafutaji mali wailajiri vijakazi toka mbali kuchunga mifugo yao baada ya muda wajakazi wale walibobea na kujiita Temu Mf. aliyekuwa mwenyeji wao Mzee Joseph aliajiri watu hawakurudi na kubakia  mpaka sasa hiyo ni Temu  nje ya box ingawa walionyesha nia ya kujiunga na ukoo wetu walipewa sharti moja  nalo lilikuwa waandae pombe debe kumi na mbili ( moktonyi) na Ngombe dume (Pung’a) na kuapa kujiunga na kuacha makando kando yeyote waliyo nayo hawakufanikiwa kutokana na uduni wa maisha au kuhofia kuacha mila  za asili yao. Wazee wakaona vyema kuwa  Kikao cha kwanza kabisa cha ukoo kilifanyika nyumbani kwa Mzee Joseph Malekia ambaye ndiye mwenyekiti wa kwanza wa ukoo maboma yote walichangia sherehe hiyo.


Ny meeku Noe Lesiriam Temu amekuwa mwakilishi kwenye serikali ya Mangi (mbuge)wakati huo
Nyi meeku  Juma Kirikiri Shikonyi alikuwa mshauri sana wa watu


Nyi meeku Kimanganu mono shikony


Nyi Meeku Enock kitiwili Temu
Nyi meeku Joseph Malekia 

Kuna wazee ambao wameshiriki sana kujenga ukoo wa akina Temu nao ni:-Meeku Joseph  Malekia, Nyi meeku Kimanganu, Meeku Lesiriam Noe, Meeku Juma Kirikiri,Meeku Tisira Chezamkonu,Meeku Kiwechi mbiitse, Kimatare, Eliwona, Enock kitiwili Temu, Roman Shikonyi ( naomba picha za mababu


Nyi meeku Roman Masanju Shikonyi Msomi mshauri wa ukoo Nyi meeku Wellae Noe Lesiriamu amekuwa mwenyekiti wa ukoo

Nyi meeku   Edward Tisira Chezamkonu alikuwa Mwl. mshauri Nyi meeku Patrick Kiwechia Temu Mwenyekiti mara tatu

Nyi meeku Alphonce Kiwechia Temu Nyi meeku Mosese Eliwona Temu. mshauri wa ukoo

Nyi Meeku Stephen Kiwechia Temu 


HALI HALISI KWA SASA

Kutokana na kuongezeka kwa ukoo wetu tunaendelea kumshukuru mungu kwa yote katika vyote anavyotujalia. Undugu wetu ni wa damu (vinasaba)kuona hili watu wameendelea kufikiria namna ya kutuweka pamoja na kufikiria kuanzisha umoja wa LUWARANE ambao chimbuko lake lilianza na wanaukoo wanaishi Dar es salam ambapo walisaidiana katika hali mbalimbali za kimaisha na kupambana na changamoto nyingi kwa kiasi kumekuwa na mafanikio wakaongeza wigo sasa ni kikundi cha kisheria cha kusaidiana wote popote tulipo akina Temu
Hivyo kila mmoja wetu ajiunge ili kushikamana na kujenga umoja thabiti wenye nguvu (dola ya ukoo) mbapo tutaweka mikakati ya kubebana, kusaidiana,kupeana fursa na kushauriana kama watoto wa ziwa moja toka kwa Babuu Masaju mwanzilishi wa ukoo sisi wote tumetoka katika uzao wake.
Kila mtu anayejijua ni Temu unahitajika kuchanga kiingilio katika umoja wa LUWARANE


VIZAZI VYA UKOO MIAKA YAPATA (MIAKA 300) KARNE YA TATU ZILIZOPITA (1600-1900) KWA MAKISIO.

MASANJU NA UZAO WAKE:

1.      KIPWE
2.      NGAAKWI (NDUGU MATENGO MTOTO WA NGAKWI MIAKA YA 1700-1800)
UZAO WA KIPWE:-
1.      SHIKONYI
2.      MCHOMBA
3.      MALEKIA

UZAZI WA MALEKIA
·JOSEPH MRINGI MALEKIA
·MKALIANA VERONIKA (KE)
·TOBALI MALEKIA
·PETRO MALEKIA
·ELIZABETH MALEKIA (KE)
·VICTORIA MALEKIA (KE)

UZAO WA JOSEPH MRINGI MALEKIA (WATOTO 18 MAMA TOFAUTI)
·ALICE JOSEPH MALEKIA TEMU(KE)
·FREDRICK JOSEPH MALEKIA TEMU
·DOREEN JOSEPH MALEKIA TEMU(KE)
·RICHARD JOSEPH MALEKIA TEMU
·WILLIAM JOSEPH MALEKIA TEMU
·BEATRICE JOSEPH MALEKIA TEMU(KE)
·EDWINI JOSEPH MALEKIA TEMU
·ALBERT JOSEPH MALEKIA TEMU
·ISAAC JOSEPH MALEKIA TEMU
·NGAKWI JOSEPH MALEKIA TEMU
·MERCY JOSEPH MALEKIA TEMU(KE)
·RUTH JOSEPH MALEKIA TEMU(KE)
·JANE JOSEPH MALEKIA TEMU(KE)
·REHEMA JOSEPH MALEKIA TEMU(KE)
·KINYAWA(MARTIN JOSEPH MALEKIA TEMU
·LEONARD JOSEPH TEMU
·FRANK JOSEPH MALEKIA TEMU
·ZELDA JOSEPH MALEKIA TEMU

UZAO WA PETRO MALEKIA TEMU
·GLADINESS (KILEDI) PETRO MALEKIA TEMU (KE)

UZAZI WA SHIKONYI (UZAO WAKE ULIKUWA)
·LESIRIAM (NOE) SHIKONYI
·KIMANGANO (ABEL)SHIKONYI
·ULYIMALLI (THOMAS)SHIKONYI
·MASAKA (EMMANUEL)SHIKONYI
·ADVESTA SHAAMBA (KE)
·CHEZAMKONU (MATEUKA)
·NGAREIYA (SAMSON)SHIKONYI
·ELYINYIPA (KE)
·KIRIKIRI (JUMA)SHIKONYI
·MASANJU (ROMAN)SHIKONYI
·(LAURENTSHIKONYI)Mtoto huyu alilikulia kwa Mzee Mbororo Shayo huko Kilema Masaera na alibarikiwa na kumpokea kikamilifunana  Mzee Shikonyi kufuata mila za jadi za ukoo. (Maana huyu alikulia kwenye ukoo mwingine au alianzisha ukoo wa kwake baada ya kulelewana na wazee)

UZAO WA LESIRIAMU (NOE)
·NDELYIKA LESIRIAM (KE)
·PONZA NICKOLAUS LESIRIAM
·KITIWILI ENOCK LESIRIAM
·NDATIRE LESIRIAM
·SHOOSE LESIRIAM (KE)
·ENGERA LESIRIAM (KE)
·MKAAKILYI ADVELINE (KE)
·KIPWE JEREMIA LESIRIAM
·MASHINDANO WELLACE LESIRIAM
·MTATIE CALVIN LESIRIAM
·KIRAKA ELIAS LESIRIAM
·VUMILIA LESIRIAM (KE)
·KIMONGE JUSTIN LESIRIAM
·SHEWIO LESIRIAM (K)

UZAO WA JASTIN KIMONGE LESIRIAM
·        ERICK JASTIN LESIRIAM TEMU
·        VICTOR JASTIN LESIRIAM TEMU
·        JULIETH JASTIN LESIRIAM TEMU(KE)
·        GASTO JASTIN LESIRIAM TEMU

UZAO WA KIMANGANO (ABEL)
·KINGSON MCHUMA ABEL KIMANGANO (Familia hii inaishi  Moshi mjini KDC)
·EVANGELINE NDEKUUTA KIMANGANO (KE)
·HILDE NDEERIO KIMANGANO (KE)
·GRACEANA SHIINDA KIMANGANO (KE)
·EDLASTER KILASHIKA KIMANGANO (KE)
·REGINALDI NDETIKIRO ABEL KIMANGANO
·NEWTON NGAPAYA ABEL KIMANGANO
·EVALAST KILEMI ABEL KIMANGANO
·MALEACK NGAKYI ABEL KIMANGANO
·ABRAHAMU KWILYIKE ABEL KIMANGANO

UZAO WA KINGSON MCHUMA ABEL KIMANGANO TEMU
·JUDICA KINGSON MCHUMA (KE)
·FRANK KINGSON MCHUMA
·HANDRETTHA KINGSON MCHUMA (KE)
·EXAUD KINGSON MCHUMA
·JUBILATHE KINGSON MCHUMA 9KE)
·ELIAICHI ROGATHE KINGSON MCHUMA (KE)
·GILLIARD KINGSON MCHUMA
·SHIKONYI KINGSON MCHUMA
·JACOB KINGSON MCHUMA

UZAO WA REGINALD NDETIKIRO KIMANGANO
·KIMANGANO REGINALD KIMANGANO TEMU
·TIKIRA REGINALD KIMANGANO TEMU(KE)

UZAO WA NEWTON NGAPAYA KIMANGANO TEMU
·FRANCIS MAWAZO NEWTON TEMU
·GAUDENCE NEWTON TEMU
·KUMBUO ELISIA NEWTON TEMU(KE)
·SEKO NGAPAYA NEWTONE TEMU
·NDERUMO KARIA NEWTONE TEMU

UZAO WA EVALAST KILEMI KIMANGANO TEMU
·NICE MBUKENDA EVALAST TEMU (KE)
·FLORA EVALAST TEMU (KE)
·ABEL EVALAST TEMU

UZAO WA MALEACK NGAKYI KIMANGANO TEMU
·NICKSON MALEACK TEMU
·ELIANGICHOPASIA MALEACK TEMU (KE)
·IKUNDA MALEACK TEMU
·AIKA MALEACK TEMU (KE)
·SHOSE MALEACK TEMU (KE)

UZAO WA ABRAHAMU KWILYIKE KIMANGANO TEMU
·MBONI ABRAHAM TEMU (KE)
·MIERE ABRAHAM TEMU
·MAWINJA ABRAHAM TEMU

 UZAZI WA ULYIMALYI THOMAS
·LEMERE INVOCAVIRT THOMAS
·HEZEKIEL MTUWETA THOMAS
·RAYMOND NDESINGIONGAO
·JULIUS KIPWE THOMAS
·EUGENIA THOMAS (KE)
·MATHEW MTENGE THOMAS
·BASILISA THOMAS (KE)
·NATHALIA THOMAS (KE)

UZAO WA EZEKIEL THOMAS ULYIMALYI
·JOHN EZEKIEL TEMU

UZAO WA JULIANOS THOMAS ULYIMALYI TEMU
·ANNA JULIANUS (KE)
·ROMA JULIANUS TEMU
·DEVOTA JULIANUS TEMU
·EUGENIA JULIANUS TEMU

UZAO WA MATHEW MTENGE THOMAS ULYIMALYI
·KASIAN MATHEW ULYIMALYI TEMU
·STELLA MATHEW ULYIMALYI TEMU
·ODILIVIA MATHEW ULYIMALYI TEMU
·BRUNO MATHEW ULYIMALYI TEMU
·LAURENCE MATHEW ULYIMALYI TEMU
·VIVIAN MATHEW ULYIMALYI TEMU
·CHRISTINA MATHEW ULYIMALYI TEMU
·AMALI RONALD MATHEW ULYIMALYI TEMU
·KYAWAKYI MATHEW ULYIMALY TEMU
·WINNFRIDA MATHEW ULYIMALYI TEMU
·DEOGRATIUS MATHEW ULYIMALYI TEMU

UZAO WA NGAREIYA (SAMSON)
·MALAIYA NGAREIYA TEMU
·MBUTOKI NGAREIYA TEMU
·KYALEMA NGAREIYA TEMU (NELSON)
·NDELEWA NGAREIYA TEMU (GODFREY)
·ALLI NGAREIYATEMU

UZAZI WA MCHILI (EMMANUEL)
·ELIBARIKI MCHILI TEMU

UZAZI WA   JUMA KIRIKIRI
·JOHN (TABU) KIRIKIRI SHIKONYI TEMU
·FATMA JUMA SHIKONYI TEMU (KE)
·ZAHRA JUMA SHIKONYI TEMU
·HALIFA JUMA SHIKONYI TEMU
·HALIMA JUMA SHIKONYI TEMU
·MWAJUMA JUMA SHIKONYI TEMU(KE)
·HAMAD JUMA SHIKONYI TEMU
·MUSSA JUMA SHIKONYI TEMU
·NEEMA JUMA SHIKONYI TEMU
·IDD JUMA SHIKONYI TEMU

UZAO WA JOHN TABU KIRIKIRI SHIKONYI TEMU
·ROSE JOHN SHIKONYI TEMU(KE)
·JOACHIM JOHN SHIKONYI TEMU
·MOSSES JOHN SHIKONYI TEMU
·NELISA JOHN SHIKONYI TEMU
·TADEI JOHN SHIKONYI TEMU
·DEUSDEDITH JOHN SHIKONYI TEMU
·EMIL JOHN SHIKONYI TEMU
·FORTUNATHA JOHN SHIKONYI TEMU (KE)
·DEVOTHA JOHN SHIKONYI TEMU (KE)
·MAGRETH JOHN SHIKONYI TEMU (KE)
·JULIANA JOHN SHIKONYI TEMU (KE)

UZAO WA JOACHIM JOHN KIRIKIRI SHIKONYI TEMU
·GILBERTJOACHIM JOHN SHIKONYI TEMU
·KELVIN JOACHIM JOHN SHIKONYI TEMU
·IMELLDA JOACHIM JOHN SHIKONYI TEMU

UZAO HALIFA SHIKONYI TEMU
·MARYAM HALIFA JUMA SHIKONYI
·AMANA HALIFA JUMA SHIKONYI
·JUMA HALIFA JUMA SHIKONYI

UZAO WA HAMAD JUMA SHIKONYI
·FAHAD HAMAD JUMA SHIKONYI
·YUSUF HAMAD JUMA SHIKONYI
·LULU HAMAD JUMA SHIKONYI

UZAO WA IDD JUMA SHIKONYI TEMU
·ABDUL IDD JUMA SHIKONYI

UZAZI WA ROMAN (MASANJU) SHIKONYI TEMU
·EDMUND ROMAN SHIKONYI TEMU
·CLAUD ROMAN SHIKONYI TEMU
·VICTORIA ROMAN SHIKONYI TEMU(KE)
·SOTERIA ROMAN SHIKONYI TEMU(KE)
·SILVIA ROMAN SHIKONYI TEMU(KE)
·DENIS ROMAN SHIKONYI TEMU
·BRUNO ROMAN SHIKONYI TEMU
·ALBERT ROMAN SHIKONYI TEMU
·EMMA ROMAN SHIKONYI TEMU
·FORTUNATE ROMAN SHIKONYI TEMU
·CARO ROMAN SHIKONY TEMU
·ALLAN ROMAN SHIKONYI TEMU

UZAO WA LAURENTI SHIKONYI (kwenye historia ndiye aliyezaliwa kwenye ukoo mwingine lakini alitambuliwa ni mtoto wa Shikonyi Temu na kupokelewa katika ukoo)
·COSTANTIN LAURENT SHIKONYI TEMU
·OLALIA LAURENT SHIKONYI TEMU (KE)
·ORONIA LAURENT SHIKONYI TEMU(KE)
·EXPERY LAURENT SHIKONYI TEMU
·AKULINA LAURENT SHIKONY TEMU
·WENZESLAUS LAURENT SHIKONYI TEMU

UZAO WA COSTANT LAURENT SHIKONYI TEMU
·SILVESTER COSTANTIN SHIKONYI TEMU
·HIYASINTA COSTANTIN SHIKONYI TEMU(KE)
·ALDEGUNDA COSTANTIN SHIKONY TEMU(KE)
·FULGENCE COSTANTIN SHIKONYI TEMU
·VENERANDA COSTANTIN SHIKONYI TEMU(KE)
·GUNAGUNDA COSTATIN SHIKONYI TEMU (KE)
·NEMES COSTANTIN SHIKONY TEMU

UZAO WA EXPERY LAURENT SHIKONY TEMU
·FREDRICK EXPERY SHIKONY TEMU
·DARIA EXPERY SHIKONYI TEMU(KE)
·FLAVIANA EXPERY SHIKONYI TEMU(KE)
·FLAVIAN EXPERY SHIKONY TEMU
·EVARISTER EXPERY SHIKONY TEMU(KE)
·EFGENIA EXPERY SHIKONY TEMU
·CRISPIN EXPERY SHIKONY TEMU
·ADELMARS EXPERY SHIKONYI TEMU
·DEOGRATIUS EXPERY SHIKONYI TEMU

UZAZI WA WATOTO WA LESIRIAM (NOE)
                         1. NDELYIA LESIRIAM (KE)
2. PONZA NICHOLAUS LESIRIAM (Ponza) Watoto wengine walibakia Bukoba

UZAO WA PONZA NICHOLAUS LESIRIAM
·FRIDA NICHOLAUS LESIRIAM TEMU
·MACDONALD NICHOLAUS LESIRIAM TEMU
·LIVINGSTONE NICHOLAUSLESIRIAM TEMU
·JANE NICHOLAUS LESIRIAM TEMU
·REGINA NICHOLAUS LESIRIAM TEMU
·REGINA NICHOLAUS LESIRIAM TEMU
·MARY NICHOLOUS LESIRIAM TEMU (Bukoba)
·REGINA NICHOLOUS LESIRIAM TEMU (Bukoba)
·MERIKISEDECK NICHOLOUS LESIRIAM TEMU (Bukoba)
·JOSEPH NICHOLAUS LESIRIAM TEMU (Bukoba)
·DAVID NICHOLOUS LESIRIAM TEMU (Bukoba)
·RYIDIA NICHOLOUS LESIRIAM TEMU(Bukoba)
·DORAH NICHOLOUS LESIRIAM TEMU (Bukoba)
·BARAKA NICHOLOUS LESIRIAM TEMU (Bukoba)
·RAHEL NICHOLOUS LESIRIAM TEMU(Bukoba)
·JASSON NICHOLOUS LESIRIAM TEMU(Bukoba)
·NEEMA NICHOLOUS LESIRIAM TEMU (Bukoba)
·ALECE NICHOLOUS LESIRIAM TEMU (Bukoba)

UZAO WA MACKDONALD NICHOLAUS
·MARTH MACKDONALD N. LESIRIAM TEMU(KE)
·LILIAN MACKDONALD N. LESIRIAM TEMU (KE)
·FRANK MACKDONALD N. LESIRIAM TEMU
·GLORY MACKDONALD N. LESIRIAM TEMU (KE)
·ROSE-MKUNDE MACKDONALDN. LESIRIAM TEMU(KE)

UZAO WA LIVINGSTON NICHOLAUS LESIRIAM TEMU
·NICKSON MACKDONALD N. LESIRIAM TEMU

UZAO WA KIPWE JEREMIA LESIRIAM NOE TEMU
·JULIANA JEREMIAH TEMU (KE)
·ANNA JEREMIAH TEMU
·EMMANUEL JEREMIAH TEMU
·HUMPHREY JEREMIAH TEMU

UZAZI WA ENOCK (KITIWILI)TEMU
·HAROLD MCHOMBA ENOCK TEMU
·ESHMED ENOCK TEMU
·MERRYLINE SIMBA ENOCK (KE)
·AMANI ENOCK TEMU
·FREEDOM ENOCK TEMU
·HOISA ENOCK TEMU (KE)
·ELSON ENOCK TEMU
·MAGRETH MRINGO ENOCK (KE)

MASHINDANO WELLACE NOE LESIRIAM TEMU
·YUNICE MASHINDANO WELLACE TEMU (KE)
·WISE MASHINDANO WELLACE TEMU
·JACKLINE MASHINDANO WELLACE TEMU(KE)
·GASPER MASHINDANO WELLACE TEMU
·HAPPYNESS MASHINDANO WELLACE TEMU(KE)
·PAMELA MASHINDANO WELLACE TEMU(KE)
·HENDRY MASHINDANO WELLACE TEMU
·BABUEL MASHINDANO WELLACE TEMU
·BENSON MASHINDANO WELLACE TEMU
·PENDO MASHINDANO WELLACE TEMU(KE)


No comments:

Post a Comment