MKUTANO WA VIJANA WA UKOO WA TEMU
MAHALI: SUMA JKT – MWENGE
TAREHE: 14/06/2019
AGENDA:
1. KUFUNGUA KIKAO
Kikao kilifunguliwa kwa sala na mjumbe
Happyseline W. Temu mnamo saa 12:40 jioni
2. UTAMBULISHO
Wajumbe walijitambulisha kwa majina na
familia na mahali wanapoishi
3. UCHAGUZI WA VIONGOZI WA MUDA (DAR –ES
SALAAM)
Wajumbe waliochaguliwa kuwa viongozi wa
mpito ni
A.
Mwenyekiti: Gaudence Newton Temu
B.
Katibu: Frank Macdonald Temu
C.
Mhazini: Ronald Harold Temu
4. MIKAKATI NA DHUMUNI LA UMOJA WA VIJANA WA
TEMU
i.
Kuleta umoja wa vijana wote wa ukoo na
kusaidiana katika shida na raha
ii.
Wazee waliokuwa viongozi wa LUWARANE kuwa
washauri kwa vijana
iii.
Vijana kukabidhiwa madaraka ya uongozi wa
LUWARANE
iv.
Kutumia katiba ya LUWARANE maana ni chama cha
kijamii kilichosajiliwa (S.A 18551) na na msajili Wizara Ya Mambo ya Ndani
v.
Kuwa na wajumbe kutoka kila boma ambao
watafuatilia kwa ukaribu vijana wote chini ya boma husika
vi.
Kutumia whatsapp platform kama njia mojawapo ya
mawasiliano ambayo itafanya Luwarane kuwa hai
vii.
Wanachama kutoa michango yao kwa wakati kwa
lengo la kutunisha mfuko wa LUWARANE
viii.
Kiingilio kwa kila mwanachama ni shilingi
10,000/=
5. MENGINEYO
i.
Kikao kijacho kitafanyika tarehe 29/06/2019 katika ukumbi wa SUMA JKT MWENGE
ii.
Kuhamasisha mahudhurio katika kikao kijacho
kupitia groups zetu za ukoo
iii.
Kuhamasisha wako Temu wote hapa Dar es salaam kuhuhuria
kikao kijacho bila kukosa
iv.
Kila mjumbe awe balozi wa Luwarane
v.
Dada zetu walioolewa kuendelea kutambuliwa kama
wanachama wa LUWARANE
vi.
Katiba ya LUWARANE isambazwe kila mwanachama awe
nayo na panapostahili marekebisho pafanyike
6. MICHANGO
Wajumbe wafuatao walitoa michango yao kama
ifuatavyo:
1.
VICTORIA WILLIAM TEMU 10,000/=
2.
RONALD HAROLD TEMU 10,000/=
3.
BRUNO MAMTHEW TEMU 10,000/=
4.
HAPPYSELINE WILLIAM TEMU 10,000/=
5.
HAMAD JUMA SHIKONYI 10,000/=
6.
YESSE JOSEPH MALEKIA 10,000/=
7.
SAMSON ELIA TEMU 5,000/=
8.
FRANK MACDONALD TEMU 10,000/=
9.
ALLAN ROMAN SHIKONYI 10,000/=
10.
NICE EVERLAST TEMU 10,000/=
11.
ALBERT ROMAN SHIKONYI 10,000/=
JUMLA 105,000/=
Mweka hazina alizipokea na ataziweka kwenye account ya
LUWARANE iliyopo NMB Bank
Mahudhurio
1. VICTORIA WILLIAM TEMU
2. RONALD HAROLD TEMU
3. BRUNO MAMTHEW TEMU
4. HAPPYSELINE WILLIAM TEMU
5. HAMAD JUMA SHIKONYI
6. YESSE JOSEPH MALEKIA
7. SAMSON ELIA TEMU
8. FRANK MACDONALD TEMU
9. ALLAN ROMAN SHIKONYI
10. NICE EVERLAST TEMU
11. ALBERT ROMAN SHIKONYI
12. JOACHIM JOHN SHIKONYI
13. DEVOTHA JOHN SHIKONYI
14. MARGARETH JOHN SHIKONYI
15. CHRISPIN EXPERY TEMU
16. GAUDENCE NEWTON TEMU
17. BENSON WELLACE TEMU
No comments:
Post a Comment