Dhumuni la blog hii ni Kudumisha umoja na Kufikisha Taarifa muhimu pamoja na habari mpya kwa wanachama wote wa luwarane popote mlipo.

Search This Blog

Friday, October 11, 2019

JALADA UKOO TEMU


Sherehe za pamoja


Kikundi kufanya sherehe za pamoja

Mila na Desturi



Kikundi cha Luwarane hukaa pamoja kujikumbusha mila na desturi za ukoo kwa kula pamoja (mbuzi-ndafu)

MKUTANO WA VIJANA WA UKOO WA TEMU


MKUTANO WA VIJANA WA UKOO WA TEMU
MAHALI: SUMA JKT – MWENGE
TAREHE: 14/06/2019
AGENDA:
1.       KUFUNGUA KIKAO
Kikao kilifunguliwa kwa sala na mjumbe Happyseline W. Temu mnamo saa 12:40 jioni

2.       UTAMBULISHO
Wajumbe walijitambulisha kwa majina na familia na mahali wanapoishi

3.       UCHAGUZI WA VIONGOZI WA MUDA (DAR –ES SALAAM)
Wajumbe waliochaguliwa kuwa viongozi wa mpito ni
A.      Mwenyekiti: Gaudence Newton Temu
B.      Katibu: Frank Macdonald Temu
C.      Mhazini: Ronald Harold Temu

4.       MIKAKATI NA DHUMUNI LA UMOJA WA VIJANA WA TEMU
i.                     Kuleta umoja wa vijana wote wa ukoo na kusaidiana katika shida na raha
ii.                   Wazee waliokuwa viongozi wa LUWARANE kuwa washauri kwa vijana
iii.                  Vijana kukabidhiwa madaraka ya uongozi wa LUWARANE
iv.                 Kutumia katiba ya LUWARANE maana ni chama cha kijamii kilichosajiliwa (S.A 18551) na na msajili Wizara Ya Mambo ya Ndani
v.                   Kuwa na wajumbe kutoka kila boma ambao watafuatilia kwa ukaribu vijana wote chini ya boma husika
vi.                 Kutumia whatsapp platform kama njia mojawapo ya mawasiliano ambayo itafanya Luwarane kuwa hai
vii.                Wanachama kutoa michango yao kwa wakati kwa lengo la kutunisha mfuko wa LUWARANE
viii.              Kiingilio kwa kila mwanachama ni shilingi 10,000/=


5.       MENGINEYO
i.                     Kikao kijacho kitafanyika tarehe 29/06/2019  katika ukumbi wa SUMA JKT MWENGE
ii.                   Kuhamasisha mahudhurio katika kikao kijacho kupitia groups zetu za ukoo
iii.                  Kuhamasisha wako Temu wote hapa Dar es salaam kuhuhuria kikao kijacho bila kukosa
iv.                 Kila mjumbe awe balozi wa Luwarane
v.                   Dada zetu walioolewa kuendelea kutambuliwa kama wanachama wa LUWARANE
vi.                 Katiba ya LUWARANE isambazwe kila mwanachama awe nayo na panapostahili  marekebisho pafanyike

6.       MICHANGO
Wajumbe wafuatao walitoa michango yao kama ifuatavyo:
1.                   VICTORIA WILLIAM TEMU            10,000/=
2.                   RONALD HAROLD TEMU               10,000/=
3.                   BRUNO MAMTHEW TEMU           10,000/=
4.                   HAPPYSELINE WILLIAM TEMU    10,000/=
5.                   HAMAD JUMA SHIKONYI              10,000/=
6.                   YESSE JOSEPH MALEKIA                                10,000/=
7.                   SAMSON ELIA TEMU                      5,000/=
8.                   FRANK MACDONALD TEMU        10,000/=
9.                   ALLAN ROMAN SHIKONYI            10,000/=
10.               NICE EVERLAST TEMU                    10,000/=
11.               ALBERT ROMAN SHIKONYI           10,000/=
JUMLA                                                  105,000/=
Mweka hazina alizipokea na ataziweka kwenye account ya LUWARANE iliyopo NMB Bank

Mahudhurio
1.            VICTORIA WILLIAM TEMU
2.            RONALD HAROLD TEMU              
3.            BRUNO MAMTHEW TEMU          
4.            HAPPYSELINE WILLIAM TEMU   
5.            HAMAD JUMA SHIKONYI             
6.            YESSE JOSEPH MALEKIA                               
7.            SAMSON ELIA TEMU                     
8.            FRANK MACDONALD TEMU       
9.            ALLAN ROMAN SHIKONYI           
10.          NICE EVERLAST TEMU                   
11.          ALBERT ROMAN SHIKONYI
12. JOACHIM JOHN SHIKONYI
13. DEVOTHA JOHN SHIKONYI
14. MARGARETH JOHN SHIKONYI
15. CHRISPIN EXPERY TEMU
16. GAUDENCE NEWTON TEMU
17. BENSON WELLACE TEMU